Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Shunie ameridhia kuacha mapaja nje anaweka mitego au haukumwambia kimini asitoke nacho nje awe anavaa ndani ya nyumba umuone peke yako tu
 
Atakua kanistukia

Habari yako Bwana Steve Mollel.

Asante kwa simulizi za nguvu, hakika tunaburudika mnoo...hadi wakati mwingine hua najiona Jona flani hivi watu wakizingua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…