Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Mkuu kwani bei gani unaitaji kumalizia utumalize hii series ANGA LA WASHENZI
Naunga mkono hoja. Bwana Steve Mollel weka bei tumalizane au fanya kitabu kabisa tununue maana tumechoka kusubiri hata isidingo ina nafuu uhakika kila siku.

Kuna mwenzio nae alikuja na riwaya ya ufukwe wa Madagascar - Kevin Mponda
Akatoa kitabu tukakifuata hukohuko Arusha.

Hebu fanya mambo tumalizane na wewe ufaidike na jasho lako.

Maana kwa hiyo episode ya mwisho ninavyomjua Jona (mvurugaji) akifika ataanzisha scene nyingine kabisa. Inshu ilikua iishe wiki ijayo lakini kwa vurugu za Jona tutaongezewa miezi mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…