Tumeona miji mingi kama Dar es Salaam jinsi nyumba zilivyosongamana bila mpangilio. Je umeona mpangilio wa mji huu wa IRINGA? Hebu uangalie.
IRINGA HIYO. Angalia maeneo mengine kwa ku-drag picha hiyo
Hii bab kubwa, unaona mpaka milima ya kando ya mji.
Thanks GM7.
Lakini kama kawa ingepigwa close up ya nguvu tungeona bati zenye kutu kibao
Nguluvi tange kwiringa, tuletele ndonya, na fibwa fyetu ufitangage vidutuvage mwe, nambi we fidodo hela be!
Ena muyawe! na fingamba na fitofu fimemage mu migunda!:biggrin:
Nguluvi tange kwiringa, tuletele ndonya, na fibwa fyetu ufitangage vidutuvage mwe, nambi we fidodo hela be!
Ena vanyakilambo na uwulasi wongepage hasa pale pa tanangozi, kumibiki mitali, na pa ludung'u lya nyi.
jamani wahehe wametuvamia! hongereni kwa mji wenu lakini. kwa upande wangu nilikuwa nafikiri Tanga ndio imepangwa vizuri zaidi. mwenye mji wa sumbawanga atuwekee hapo.