Angalia Admin wa Account ya Uhamiaji Alichofanya kwa Mama G!.

Kesho admin aripoti ofisini inawezekanaje official page yeye anapost mahaba yake kwa mkewe/mpenzi na timu yake ya mpira.
 
Aseeeh
Ni akaunti za kifamilia hizo inaonekana.
 
Itakuwa bahati mbaya alifikiri anaandika kwenye ukurasa wake kumbe kaandika kwenye kundi la kazi. Ni bahati mbaya huwatokea wengi , aliyekosea ni huyo aliyekopi na kusambaza kwenye makundi mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…