Angalia Admin wa Account ya Uhamiaji Alichofanya kwa Mama G!.

Angalia Admin wa Account ya Uhamiaji Alichofanya kwa Mama G!.

Nchi ya Ajabu sana halafu utasikia Watalii wakilalamika kuwa kila wakijaribu kuApply Online Visa haifunguki.
 
Kesho admin aripoti ofisini inawezekanaje official page yeye anapost mahaba yake kwa mkewe/mpenzi na timu yake ya mpira.
Alisahau kuswitch account au kulog off huyu admin 😊!.
 
Anaitwa
FB_IMG_1699120815581.jpg
 
Back
Top Bottom