Angalia akili za watu zilivyo

Angalia akili za watu zilivyo

Hizo fungus na bacteria ni makundi madogo ndani ya animalia
Si kweli animalia (Animal Kingdom) ina makundi mawili tu invertebrates (wanyama wasio na uti wa mgongo) na vertebrates (wanyama wenye uti wa mgongo) !
 
Sawa ndugu, nakubaliana na wewe. Lakini hapo juu nimesema, wakati namjibu Acumen, kuwa, wakati mimi nasoma, kulikuwa na kingdom mbili tu; animalia na plantae.
Sina hakika umesoma lini, lakini tokea sayansi ya biolojia imeanza, Kingdom (makundi ya viumbe yako) matano! hizo mbili unazosema ni matawi (branches) ya Biolojia yaani Botany (Plants) na Zoology (Animals)
 
Wamegroup maana hazina maana ila zamani tulikuwa tunasoma kingdom 4 ..
Mkuu hakuna kundi la viumbe hai lisilokuwa na maana.....soma vizuri food chain na food web ndio utaona umaana wa fungi na bacteria....
 
Mkuu hakuna kundi la viumbe hai lisilokuwa na maana.....soma vizuri food chain na food web ndio utaona umaana wa fungi na bacteria....
Naona madogo wa sasa hawasomi maana wanasema eti yapo mawili😅
 
Ume classifie vp binadam na wanyama wakat binadam nae yupo ndan ya Hilo kundi la wanyama.
 
Sina hakika umesoma lini, lakini tokea sayansi ya biolojia imeanza, Kingdom (makundi ya viumbe yako) matano! hizo mbili unazosema ni matawi (branches) ya Biolojia yaani Botany (Plants) na Zoology (Animals)
Ulizia waliosoma zamani, watakwambia Animalia na Plantae ni kingdoms. Huwa siandiki kitu kwa kubahatisha! Ni kweli biology niliiacha nilipomaliza form four, na advance nilisoma masomo mengine, hata hivyo, sijasahau yale niliyosoma O'level.
 
Sijakuambia kuwa Animalia na Plantae sio Kingdom, yes ni mojawapo katika 5 Kingdoms of Life, branches za Biolojia ni Zoology (ikihusika na wanyama na ndio maana niliandika "Animals" na sio Animalia) na Botany (ikihusika na mimea, na ndio maana niliandika "Plants" na sio plantae!
 
Back
Top Bottom