Si kweli animalia (Animal Kingdom) ina makundi mawili tu invertebrates (wanyama wasio na uti wa mgongo) na vertebrates (wanyama wenye uti wa mgongo) !Hizo fungus na bacteria ni makundi madogo ndani ya animalia
Sina hakika umesoma lini, lakini tokea sayansi ya biolojia imeanza, Kingdom (makundi ya viumbe yako) matano! hizo mbili unazosema ni matawi (branches) ya Biolojia yaani Botany (Plants) na Zoology (Animals)Sawa ndugu, nakubaliana na wewe. Lakini hapo juu nimesema, wakati namjibu Acumen, kuwa, wakati mimi nasoma, kulikuwa na kingdom mbili tu; animalia na plantae.
Mkuu hakuna kundi la viumbe hai lisilokuwa na maana.....soma vizuri food chain na food web ndio utaona umaana wa fungi na bacteria....Wamegroup maana hazina maana ila zamani tulikuwa tunasoma kingdom 4 ..
Naona madogo wa sasa hawasomi maana wanasema eti yapo mawili😅Mkuu hakuna kundi la viumbe hai lisilokuwa na maana.....soma vizuri food chain na food web ndio utaona umaana wa fungi na bacteria....
Wanachanganya branches (matawi) za Biology na Kingdoms of life!Naona madogo wa sasa hawasomi maana wanasema eti yapo mawili😅
Zile ranks of classification ndo zinachambua mwanzo mwisho.Wanachanganya branches (matawi) za Biology na Kingdoms of life!
Ulizia waliosoma zamani, watakwambia Animalia na Plantae ni kingdoms. Huwa siandiki kitu kwa kubahatisha! Ni kweli biology niliiacha nilipomaliza form four, na advance nilisoma masomo mengine, hata hivyo, sijasahau yale niliyosoma O'level.Sina hakika umesoma lini, lakini tokea sayansi ya biolojia imeanza, Kingdom (makundi ya viumbe yako) matano! hizo mbili unazosema ni matawi (branches) ya Biolojia yaani Botany (Plants) na Zoology (Animals)
Sijakuambia kuwa Animalia na Plantae sio Kingdom, yes ni mojawapo katika 5 Kingdoms of Life, branches za Biolojia ni Zoology (ikihusika na wanyama na ndio maana niliandika "Animals" na sio Animalia) na Botany (ikihusika na mimea, na ndio maana niliandika "Plants" na sio plantae!Ulizia waliosoma zamani, watakwambia Animalia na Plantae ni kingdoms. Huwa siandiki kitu kwa kubahatisha! Ni kweli biology niliiacha nilipomaliza form four, na advance nilisoma masomo mengine, hata hivyo, sijasahau yale niliyosoma O'level.