hivi nyie kushinda kwenye tv kuangalia bunge hamna kazi zingine za kufanya?
makaka fanyeni kazi wenzenu wanafanya utani hapo lakini posho 300000 inaingia.

Kangi Lugola keshaanza kutema cheche,anasema kanuni hizo mpya zinasema wakati mwingine bunge maalum litakutana kwa dharura,anahoji,ni katiba gani ya watanzania itapatikana kupitia bunge la faragha..?
Siku hizi mambo ni e-commerce! Huenda anaangalia TV na ipad pembeni anaagiza au anaexport bidhaa! Siyo lazima utumie mitulinga!hivi nyie kushinda kwenye tv kuangalia bunge hamna kazi zingine za kufanya?
makaka fanyeni kazi wenzenu wanafanya utani hapo lakini posho 300000 inaingia.
Unajua nature ya kazi yangu?
Kwa kifupi,niko off.
hivi nyie kushinda kwenye tv kuangalia bunge hamna kazi zingine za kufanya?
makaka fanyeni kazi wenzenu wanafanya utani hapo lakini posho 300000 inaingia.
Kwakua kodi za wananchi na rasilimali zao ndizo zinazo tumika kama posho za wabunge maalum kutumia lugha yoyote ya kupuuza mchakato huo wenye manufaa kwa kizazi hiki na kijacho ni uchochezi.