Angalia Bunge la Katiba TBC na Star Tv

Angalia Bunge la Katiba TBC na Star Tv

hivi nyie kushinda kwenye tv kuangalia bunge hamna kazi zingine za kufanya?

makaka fanyeni kazi wenzenu wanafanya utani hapo lakini posho 300000 inaingia.

Mbona we unashinda kwenye internet we utakiwi kufanya kazi? Jua ya kwamba hao wanaume wanaongalia tv Ndo mwisho wa siku utatamani 500 Yao .......
 
hivi nyie kushinda kwenye tv kuangalia bunge hamna kazi zingine za kufanya?

makaka fanyeni kazi wenzenu wanafanya utani hapo lakini posho 300000 inaingia.

Daah wamekujibu wengi jenifa, nadhani utakubali umeoverlook kwa comment hii
 
Kangi Lugola keshaanza kutema cheche,anasema kanuni hizo mpya zinasema wakati mwingine bunge maalum litakutana kwa dharura,anahoji,ni katiba gani ya watanzania itapatikana kupitia bunge la faragha..?
 
Tazama TBC1 live, ni dhahiri sasa Wabunge wameamua kutafuta mbadala wa namna ambavyo watajiongezea pesa.
Kila bunge linapokaa , basi utasikia bunge liahirishwe ili kupitia hili na lile. Inawezekana kabisa hata siku 90 zisitoshe mpaka kumalizika kwa vikao vya bunge na hii ni makusudi tu ili ile nyongeza ya posho ijifidie kwenye kuongezewa siku zaidi.
 
Kangi Lugola keshaanza kutema cheche,anasema kanuni hizo mpya zinasema wakati mwingine bunge maalum litakutana kwa dharura,anahoji,ni katiba gani ya watanzania itapatikana kupitia bunge la faragha..?

Hapa kuna agenda ya siri!
 
Huu ungese waachieni wao wapenda posho wakina ndasa
 
hivi nyie kushinda kwenye tv kuangalia bunge hamna kazi zingine za kufanya?

makaka fanyeni kazi wenzenu wanafanya utani hapo lakini posho 300000 inaingia.
Siku hizi mambo ni e-commerce! Huenda anaangalia TV na ipad pembeni anaagiza au anaexport bidhaa! Siyo lazima utumie mitulinga!
 
updates wakuu wengine tuko huku kwa mzee pinda Katavi umeme upo km 50 kutoka nilipo.
 
link ya Star TV please. Wengine tupo mafichoni huku kunako magodown ya pembe za ndovu na sembe. Tunahitaji kusikiliza.
 
hivi nyie kushinda kwenye tv kuangalia bunge hamna kazi zingine za kufanya?

makaka fanyeni kazi wenzenu wanafanya utani hapo lakini posho 300000 inaingia.

Ofisi yako haina TV au ww ni machinga?Ajira zenyewe ziko wapi? ww kushinda kwenye keyboard uko sahihi au huna kazi ya kufanya?
 
Kwakua kodi za wananchi na rasilimali zao ndizo zinazo tumika kama posho za wabunge maalum kutumia lugha yoyote ya kupuuza mchakato huo wenye manufaa kwa kizazi hiki na kijacho ni uchochezi.
 
Kwakua kodi za wananchi na rasilimali zao ndizo zinazo tumika kama posho za wabunge maalum kutumia lugha yoyote ya kupuuza mchakato huo wenye manufaa kwa kizazi hiki na kijacho ni uchochezi.

umevurugwa wewe hujielewi!!!
 
Hili suala la kura ya wazi na siri limekaaje wadau hapa Dom watu watazalishana na hili!!!!!!
 
Mchakato unaendele na swala la posho limepoteza umaarufu mjengoni kutokana na wajumbe kuto endelea kulizungumzia lakini cha ajabu ni kwamba watu wachache wenye malengo yasio ya heri kwa nchi walio nje ya bunge wamelifanya zengwe na kuweka hali ya uchonganishi kati ya raia na serikali
 
Back
Top Bottom