Angalia cocacola inavyofanya kazi mwilini mwako what cola do to your body

Angalia cocacola inavyofanya kazi mwilini mwako what cola do to your body

549647_187940951338905_1435714735_n.jpg
 
Mkuu tembelea hapa What Happens To Your Body Within An Hour Of Drinking A Coke | Nutrition Research Center








Dawa ya kuacha kunywa pombe fanya hivi:

(1) Dawa ya kuacha kunywa Pombe Pata mtu achukuwe maziwa kidogo ya mwanamke anaye nyonyesha akutilie kwenye pombe yako kisha unywe utaacha kunywa kabisa inshallah

(2)
Dawa zipo mojawapo ni NALTREXON au ACAMPROSATE hizi dawa zinakupunguzia hitaji na abstinence symptoms za alcohol.
DISULFIRAM ni chaguo jingine.


  • ( 3) chukuwa bia yako kaweke kwenye juu ya kaburi lolote lile usiku kucha asubuhi yake nenda kachukuwe hiyo bia yako

    uifunguwe na kuinywa utaacha tena kunywa Pombe. Jaribu kisha uje unipe feedback


Ahsante nitafanyia kazi hii kitu
 
Last edited by a moderator:
ahsante kwa thread hii sis watanzania ni wabish hata kama hatuelewi kitu, nawe unaebisha toa shule yako ya chemistry halafu tupe reference ulikosimamia.!!!!!
hapa lazima uwe na destur ya kusoma vitabu
 
Chanzo kwako ni nin? Unajua chanzo kina toka kwa watu kama mimi,wewe na hata aliyeileta hii thread?hii soda tangu kitambo nasikia inamadhara.Mie nikinywa meno yanapata ganzi kabisa.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
baraka hapa sio church wala msikitin tunaruhusiwa kuuliza kama unahitaj ufaham
 
Kwenye biashara kuna Mapambano mengi.. kama VODACOM NA AIRTEL. . kila mtu anataka awe juu
 
Mkuu, ni kweli naipenda sana tu. Ila huwa naweka 2/3 Ice na 1/3 Cola. Mjanja mie 🙂
Mkuu unaipendea nini ?

Siyo utani, mie hela yangu ya shida maana ukulima wa Tumbaku na Asali umenishinda. Sasa nabangaiza bangaiza hapa Sikonge kituo cha Mabasi. Hela ndefu sina mwenzako.
Mkuu acha kutushusha,sisi watu wa sikonge (More,tutuo,mibono,ipole) tuna pesa ya kutosha kwa sababu tunajishughulisha na kilimo cha Tumbaku!
 
Back
Top Bottom