Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
- Thread starter
-
- #21
Mkuu tembelea hapa What Happens To Your Body Within An Hour Of Drinking A Coke | Nutrition Research Center
Dawa ya kuacha kunywa pombe fanya hivi:
(1) Dawa ya kuacha kunywa Pombe Pata mtu achukuwe maziwa kidogo ya mwanamke anaye nyonyesha akutilie kwenye pombe yako kisha unywe utaacha kunywa kabisa inshallah
(2)Dawa zipo mojawapo ni NALTREXON au ACAMPROSATE hizi dawa zinakupunguzia hitaji na abstinence symptoms za alcohol.
DISULFIRAM ni chaguo jingine.
- ( 3) chukuwa bia yako kaweke kwenye juu ya kaburi lolote lile usiku kucha asubuhi yake nenda kachukuwe hiyo bia yako
uifunguwe na kuinywa utaacha tena kunywa Pombe. Jaribu kisha uje unipe feedback
baraka hapa sio church wala msikitin tunaruhusiwa kuuliza kama unahitaj ufahamChanzo kwako ni nin? Unajua chanzo kina toka kwa watu kama mimi,wewe na hata aliyeileta hii thread?hii soda tangu kitambo nasikia inamadhara.Mie nikinywa meno yanapata ganzi kabisa.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
yaani ningekuwa mwanamke ningeolewa na muuza coca kule coco beach ..napenda coca mwanzo kati mwisho
Mkuu unaipendea nini ?
Mkuu acha kutushusha,sisi watu wa sikonge (More,tutuo,mibono,ipole) tuna pesa ya kutosha kwa sababu tunajishughulisha na kilimo cha Tumbaku!