Angalia goli la Mbwana Samatta dhidi ya Manchester City

Angalia goli la Mbwana Samatta dhidi ya Manchester City

Ameweka rekodi nyingi saana ndie mwafrika wa 5 kufunga fainali kwenye ligi za uingereza. Drogba, toure Yaya, obafemi Martin, job na samatta.

Ndo mchezaji wa Kwanza kumtimbulia fainali Pep uingereza toka Wayne Rooney afanye hivyo 2011.

E.t.c

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo cha maana ni goli zuri na ameonyesha quick thinking, hayo mengine ni immaterial, unless otherwise kila anachofanya kila binadamu wakati wowote ule anavunja rekodi hata wewe huenda ukawa ni Mwafrika wa kwanza mwenye jina kama lako anayetumia simu kama yako.
 
Back
Top Bottom