Angalia hapa Altezza inavyonyanyaswa na Subaru

GTE ikiwa stock ni moto, ila pia ikipigwa mods inakuwa balaa zaidi.

1JZ-GTE inamwaga moto wa 276HP ikiwa stock.
2JZ-GTE inaenda 280HP stock ila ukitia tia mbwembwe ni balaa lingine.
Nadhani hio 2jz ndo ipo kwenye Toyots Supra na Aristo...
 
Wale wapenda mbio ukishanunua gari yako ya high performance karibu Arusha.

Kuna barabara nzuri sana za kujimwambafai.

Kuna barabara ya Arusha Babati au Arusha Namanga.
Yaani wewe tu.

Angalia hapa Altezza inavyonyanyaswa na Subaru pamoja na Glanza. [emoji116][emoji116]

Note***high speed kills..[emoji1][emoji119][emoji119][emoji1]

Watu vichaa😂😂
 
Nadhani hio 2jz ndo ipo kwenye Toyots Supra na Aristo...
Yap! 2JZ-GTE ni umeme wa hatari!

Hawa jamaa sahizi walitakiwa waunde Engine mpya inline 6 yenye walau 850HP ili kuwafunga midomo wajerumani. Ije na mashine moja yamoto sana ile supra mpya was a joke.

Maana sahizi kila mtu sokoni ni battle of horses! Wameleta ka Yaris GR kanatoa performance kama ya 1JZ-GTE kanasumbua vi hatchback vyenzake sokoni ila bado.

Walitakiwa washushe chuma 850HP on stock ili kutikisa dunia kama ilivyokuwa kwa supra. Naskia kuna 3JZ inaundwa hio sijui itakuwaje.
 
Alafu watuuzie bei gani ? 850HP ni zaidi ya danger.. hizi zenye 280HP na zenye 315HP ni nomaa..
 
Kuna Lexus zina 460HP+ ni noma
Na lexuz huwa zipo mwake mwake hata ndani.. hata ukiwa na bei bei ana enjoy huku mnakaja kibatiii .. kuna raha ya gari kuwa na nguvu na ndani ipo na mvuto wa kukaa.. maana kuna gari zimekaa kikazi sana..
 
Yap! 2JZ-GTE ni umeme wa hatari!

Hawa jamaa sahizi walitakiwa waunde Engine mpya inline 6 yenye walau 850HP ili kuwafunga midomo wajerumani. Ije na mashine moja yamoto sana ile supra mpya was a joke.

Maana sahizi kila mtu sokoni ni battle of horses! Wameleta ka Yaris GR kanatoa performance kama ya 1JZ-GTE kanasumbua vi hatchback vyenzake sokoni ila bado.

Walitakiwa washushe chuma 850HP on stock ili kutikisa dunia kama ilivyokuwa kwa supra. Naskia kuna 3JZ inaundwa hio sijui itakuwaje.
Hiyo engine iwe na turbo au natural aspirated?
 
2JZ-GTE hapo huyo subaru atabandika chai!😁
Huwezi shindanisha engine ya Turbo against engine ambayo sio turbo. Wekeni GTE hata ikiwa kwenye Caldina huyo Subaru lazma afanywe mshikaki 😂
Lile bati langu nalibembeleza na ile 3sge yake mkweche nikijipanga kuvuta hiyo 2jz-gte au 1jz-gte na gear box manual halafu iwe kama vintage car ya familia hadi wajukuu waje kuiendesha 😂
 
Back
Top Bottom