TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Wananchi wa jimbo la Kivu ilibidi washangilie bila kupenda kwa sababu wamezungukwa na mitutu ya bunduki, ila haikuwa furaha kutoka moyoni.
Wakati huohuo baada ya kujitangazia serikali mpya katika majimbo ya Goma, Kivu nk, kikundi cha waasi cha M23 kitajitangazia namlaka kamili ya kiutawala kaskazini mashariki mwa DRC.
Baadaye wataomba kujiunga na Rwanda ili iwe nchi moja, Paul Kagame ataharakisha swala hilo ikiwa ndiyo hadhima yake kutwaa aridhi ya kongo na kujiongezea rasilimali hiyo.
Mzee Tshieked kalala nani usingizi wa pono, hajui kama anajua nchi imemegwa na mzee wa figisu PK.
EAC mkae chonjo kesho kutwa kwenye kikao chenu cha dharula, PK anakuja kuwabagaza na kuwaralua ili afikie lengo.
Yangu ni hayo.