Angalia hii video uchangie, je unajifunza nini kuhusu bedroom politics?

Angalia hii video uchangie, je unajifunza nini kuhusu bedroom politics?

Katika mkutano wa COMESA, mke wa rais wa Burundi alifika kwa gari la kifahari aina ya limosine, jambo lililowashangaza wengi.


View: https://www.youtube.com/watch?v=XS4TEkbAsZ0


This is Africa.

Hayo ni matumizi mabaya ya madaraka, na pia kodi za wananchi.
Na matumizi mabaya ya akili pia
Exactly.

Mnataka aenda na Vitz au?
Akili za kimaskini hizi kutembelea gari hilo kunarudishaje uchumi wa nchi?
Burundi ni nchi maskini (fukara) Sana, hakuna sababu hata Moja ya watawala wa nchi hiyo kuishi maisha ya anasa na ya kifahari namna hii.
Kumbuka: Kuongoza ni Kuonyesha njia, Je, huo ufahari na kufuru wanazofanya hao Watawala wa huko Burundi zinatoa mfano gani kwa jamii na Watu wengine wote hapa duniani??? Je, Kuna ULAZIMA gani kwa watawala hao kutembelea magari ya kifahari namna hii wakati raia wengi zaidi waliopo kwenye nchi hiyo ni maskini na mafukara wa kutupwa wasio na uwezo hata wa kupata uhakika wa kula mlo mmoja kwa siku??? Lengo hasa la hao watawala kuwa madarakani hasa ni Nini???
 
HAPA NDIPO NILIPOMUOMBEA TRUMP ASHINDE URAIS WA MAREKANI ILI AWANYOOSHE WASHENZI KAMA HAWA WANAOFUJA FEDHA ZA NCHI ZAO NA KUTEGEMEA MISAADA YA MAREKANI.


UKITEMBELEA GARI YA KAWAIDA HUWEZI KUFIKA?
Mwafrika hawezi kujitawala. Ubongo wake bado hauja-develop kiasi cha kushinda hisia zake. Muda wote anawaza kuhusu yeye. Huyu mama utakuta nchi yake raia wanakufa kwa kukosa dawa rahisi kabisa lakini yeye hajali. Samia anachukuwa dege kubwa anakwenda kuzura nalo kwa gharama kubwa huku kina mama wenzake hawana hata sehemu ya kujifungulia. Hajali.
 
Back
Top Bottom