P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Nov 14, 2024 #21 Mtoto wa Shule said: Walioshangaa wako wapi kwenye picha? Umenimalizia bando langu tu! KUMBAVU!! Click to expand... Hukuwahi kutumia dawa za uendawazimu kweli wewe kiumbe?!
Mtoto wa Shule said: Walioshangaa wako wapi kwenye picha? Umenimalizia bando langu tu! KUMBAVU!! Click to expand... Hukuwahi kutumia dawa za uendawazimu kweli wewe kiumbe?!
F FWC Member Joined Jan 9, 2022 Posts 66 Reaction score 120 Nov 14, 2024 #22 B M F said: Kumbe na wewe umeiona nilizani ni mm tu Click to expand... Husijali io h nimeiondoa
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,504 Reaction score 35,520 Nov 14, 2024 #23 Father of All said: Katika mkutano wa COMESA, mke wa rais wa Burundi alifika kwa gari la kifahari aina ya limosine, jambo lililowashangaza wengi. View: https://www.youtube.com/watch?v=XS4TEkbAsZ0 Click to expand... Umekiona chuma kilivyo lkn ingekuwa mm ndio rais angekuwa ana shushwa na chopa
Father of All said: Katika mkutano wa COMESA, mke wa rais wa Burundi alifika kwa gari la kifahari aina ya limosine, jambo lililowashangaza wengi. View: https://www.youtube.com/watch?v=XS4TEkbAsZ0 Click to expand... Umekiona chuma kilivyo lkn ingekuwa mm ndio rais angekuwa ana shushwa na chopa
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Nov 14, 2024 #24 pilipili kichaa said: Hukuwahi kutumia dawa za uendawazimu kweli wewe kiumbe?! Click to expand... Mwaka wa Saba huu natumia! Ahahahahaha!!!
pilipili kichaa said: Hukuwahi kutumia dawa za uendawazimu kweli wewe kiumbe?! Click to expand... Mwaka wa Saba huu natumia! Ahahahahaha!!!
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 3,329 Reaction score 2,169 Nov 15, 2024 #25 narumuk said: Hiyo h ya nini hapo? Click to expand... Wanakera sana na h zao, sijui elimu yetu imepatwa na nini?
narumuk said: Hiyo h ya nini hapo? Click to expand... Wanakera sana na h zao, sijui elimu yetu imepatwa na nini?