Angalia hizi picha kwanza ndiyo utoe maoni yako

Angalia hizi picha kwanza ndiyo utoe maoni yako

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
20231013_192952.jpg

20231015_200226.jpg

20231011_121906.jpg

20231012_204200.jpg
 
This one is relevant. Palestine walieapokea Israel kama wakimbizi ila wakajakuwageuka. Imagine umkaribishe mtu baki kwako umpe makazi halafu aje ajimilikishe nyumba yako na kuanza kukunyanyasa na kuua watoto wako kwa msaada wa majaa fulani yenye nguvu.
Ngumu kukubali kuwa mgeni kwenye nyumba unayoamini umezaliwa. Nyumbani sio majengo, nyumbani ni hisia na kamwe hazihami kizembe.
 
Mbona kama umeegemea upande mmoja
 
Bado mi nataa kujua kwanini nchi za ulaya na mmarekani wanamtetea mu Israel na hawaweki suluhisho lakueleweka ili vita isiendelee wakati wana uwezo wakufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom