Angalia hizi picha kwanza ndiyo utoe maoni yako

Ngumu kukubali kuwa mgeni kwenye nyumba unayoamini umezaliwa. Nyumbani sio majengo, nyumbani ni hisia na kamwe hazihami kizembe.
 
Mbona kama umeegemea upande mmoja
 
Bado mi nataa kujua kwanini nchi za ulaya na mmarekani wanamtetea mu Israel na hawaweki suluhisho lakueleweka ili vita isiendelee wakati wana uwezo wakufanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…