Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Nina imani wanawake hawa ukute waliachiwa jukumu kubwa la kulea familia baada ya kutelekezwa..
Ugumu wa maisha ulipelekea wafanye haya,mimi sio mbobevu kwenye sheria lakini hivi wezi wanaoiba matirion bado wanadunda lakini wananchi hawa masikini wanahukumiwa vifungo vya kikatili kama hivi.Tujadili.