...Miaka 20 Kwa kukutwa na Kilo 10 za Bangi ?? Miaka 20 ?? [emoji45] Kuna Kitu hakiko Sawa kama Nchi... !!!View attachment 2804260View attachment 2804261
Nina imani wanawake hawa ukute waliachiwa jukumu kubwa la kulea familia baada ya kutelekezwa..
Ugumu wa maisha ulipelekea wafanye haya,mimi sio mbobevu kwenye sheria lakini hivi wezi wanaoiba matirion bado wanadunda lakini wananchi hawa masikini wanahukumiwa vifungo vya kikatili kama hivi.Tujadili.
Mwanamke wa Kimujahadeen kawa muuza bangi tena. kulikoni?View attachment 2804260View attachment 2804261
Nina imani wanawake hawa ukute waliachiwa jukumu kubwa la kulea familia baada ya kutelekezwa..
Ugumu wa maisha ulipelekea wafanye haya,mimi sio mbobevu kwenye sheria lakini hivi wezi wanaoiba matirion bado wanadunda lakini wananchi hawa masikini wanahukumiwa vifungo vya kikatili kama hivi.Tujadili.
Acha bangi wewe kunguruKinacho nishangaza mbongo ukitembea na mwanafunzi unafungwa, wakati Yesu alitembea na wanafunzi na hakufungwa...🤔
Huku kwetu bange ni mboga mkuu, kwahiyo siwezi kuacha kuila ikipikwa..🤣Acha bangi wewe kunguru
waombe rufaa watashinda kesi hizo za michongoView attachment 2804260View attachment 2804261
Nina imani wanawake hawa ukute waliachiwa jukumu kubwa la kulea familia baada ya kutelekezwa..
Ugumu wa maisha ulipelekea wafanye haya,mimi sio mbobevu kwenye sheria lakini hivi wezi wanaoiba matirion bado wanadunda lakini wananchi hawa masikini wanahukumiwa vifungo vya kikatili kama hivi.Tujadili.
Acha upuuz weweKinacho nishangaza mbongo ukitembea na mwanafunzi unafungwa, wakati Yesu alitembea na wanafunzi na hakufungwa...[emoji848]
NIKUMBUSHE NILIKUWA WAPI VILE MAANA SAFARI NI NYINGIMkuu usharudi mjini?