Angalia huyu mwanamke

Angalia huyu mwanamke

Tusilaumu sana wanawake.

Hakuna binadamu anayependa shida.

Dada wa watu anaweza kukuvumilia na usitoke vile vile.

Na hata kama ukitoka unaweza kumtosa dada wa watu au 'kumpiga matukio' maana sote ni binadamu na mifano ipo.

Ishtoshe sidhani kama kuna mtu yeyote anayependa dada yake aolewe na mtu kapuku na asiye eleweka.
 
Na wote tuseme Ameeeen!
 
Kama ameweza kumvumilia baba yake ambaye ni mpina hana gari iweje aje aweke kigezo cha gari katika mwanaume atakayemuoa??

Kabla ya kusema hutaki dada yako aolewe na kapuku, inabidi utafakari huyo dada yako ana balance ya shingapi NMB mpaka aweke kikwazo hicho?

Wanawake sikuhizi kila kukicha wamekua wakiweka vikwazo kwa wanaume watakaowaoa zaidi ya marekani kwa mchina

Mwanamke anaweza akajua kabisa mwanaume sahihi wa kumuoa ni yupi lakini akamkacha kwasababu hana itikadi za kibabilon kuvimba street

It's Scars
 
Ila wanaume wa jf mnapenda kukuza mambo. Wangapi mlioa mkiwa matajiri?
Huku mtaani tunaona makapuku ndio kila siku wanafunga ndoa, kwani wanafunga na wanaume wenzenu hadi mshangae hilo?
Wengi mmeoa mkiwa nyumba za kupanga, tena wengine chumba kimoja tu. Ila mkiwa mitandaoni mnajifanya hakuna mwanamke anaekubali kuolewa na kapuku.[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Huyo anekubali kuolewa na kapuku basi ujeu hana chura au hana sura hahahahabah
 
Jamaa ameongea ukweli wee unasema defeatist ideas.
Ukweli?!?! Ok...lakini hizo zinabaki kuwa ni defeatist ideas....more to that ni kwamba black race ndiyo future race ya planet hii.... This will happen between.350-500 years from now
.
 
Huyo anekubali kuolewa na kapuku basi ujeu hana chura au hana sura hahahahabah
Acha kukariri, mabinti wazuriii na wamejaaliwa kabisa na Muumba. Mwingine hadi watu wa pembeni walokariri kama wewe ndio wanamshangaa inakuwaje aolewe na kapuku wakati mzuri hivyo!!
 
Ukweli?!?! Ok...lakini hizo zinabaki kuwa ni defeatist ideas...

Iyekuwahi kakuwabi tuu kaka hamna jingine
Sie wenyewe kuishi kwetu kunategemea watusaidie budget sassa kunaujanja hapo?

Tungekuwa kweli sie tujaniamini sii tungesema haya jamani nyie tuacheni tufanye yetu atakama tutasota kwa miaka 50 ndio tutoboe.
 
Ukiangalia kina mama vijijini wanavyohangaika, unafikiri wangekuwa na maarifa ya ziada wasingefanya hayo?
Kama hata wanaume wanafeli wengi wao hao mtawaonea tu
Kila kitu kinawezekana ila ni kujituma tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Acha kukariri, mabinti wazuriii na wamejaaliwa kabisa na Muumba. Mwingine hadi watu wa pembeni walokariri kama wewe ndio wanamshangaa inakuwaje aolewe na kapuku wakati mzuri hivyo!!
Acha zako wewe mwanamke mzuri na chura juu akaolewe na kapuku hio mie nataka niione. Mzuri namba moja wa tz aliolewa na bionea mbona hakuchukuliwa na kapuku
 
Back
Top Bottom