Unaweza ukapata Mrembo wa kuoa hata kama ni kapuku muhimu nyota tu..πππAcha zako wewe mwanamke mzuri na chura juu akaolewe na kapuku hio mie nataka niione. Mzuri namba moja wa tz aliolewa na bionea mbona hakuchukuliwa na kapuku
Nalo neno nyota muhimuUnaweza ukapata Mrembo wa kuoa hata kama ni kapuku muhimu nyota tu..πππ
Hili ni kweli kwa asilimia nyingiMkuu tusikimbie ukweli,wenzetu wana hisia kali sana kwenye mahusiano lakini huku kwetu hisia ni biashara
Kwa asilimia kubwa huku kwetu,mtu anakupa hisia zake kutokana na vitu,mfano fedha,mali n.kHili ni kweli kwa asilimia nyingi
Yah ni kweli huku kwetu ukiwa navyo unawapata easy kabisa ila wale wenzetu wagumu kutoa aisee labda urafiki.Kwa asilimia kubwa huku kwetu,mtu anakupa hisia zake kutokana na vitu,mfano fedha,mali n.k