Angalia jinsi Afrika inavyoitegemea Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya ngano.

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Hii ni picha ya kueleza utegemezi wa nchi za kiafrika kwa Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya Ngano.

Ukraine nchi yenye watu milioni 30 inalisha Afrika nzima bara lwnye watu Bilioni 1 na ushee.
 
Sio kweli ni 3% tu ya ngano ya Ukuraini ndo inao letwa Africa, UN na US wanatumia Africa kama negotiation plan ila ngano nyingi ya Ukraine inaenda uarabuni na Uerope sio Africa......
 
Na hata anachojaribu kusema kingekuwa kweli, ingekuwa kwa sababu ya ushenzi wa uongozi mbovu wa Africa. Dubai jangwani wanalima ngano inakuwaje AFRICA!?
 
Back
Top Bottom