Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Ukiona watu huko ulaya wanalia lia kuwa Roboti zitanyang'anya kazi zao ujue mambo yameiva.Kanizidi mkuu kweli...
Sina hoja hapo kwa kweli....πππππππ
Nimewaza hapa nionaaa ooooh ooooh hii Al ipo kila sehemu. Sasa naungana na wewe
Ni hivi Robot zinaenda kuleta mapinduzi makubwa duniani.
Tunatakiwa tujipange namna gani tutaishi in the era of Robot technology.
Waafrika huwa tunskuwa wa mwisho sana na hstushtiki tipo tipo tu.
Wenzetu wameisha anza kuunda sera na sheria kuhusu AI Robot sisi sijui tunasubiri nini wakati midude imeisha anza kufanya kazi.