Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

Kanizidi mkuu kweli...
Sina hoja hapo kwa kweli....πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Nimewaza hapa nionaaa ooooh ooooh hii Al ipo kila sehemu. Sasa naungana na wewe
Ukiona watu huko ulaya wanalia lia kuwa Roboti zitanyang'anya kazi zao ujue mambo yameiva.
Ni hivi Robot zinaenda kuleta mapinduzi makubwa duniani.
Tunatakiwa tujipange namna gani tutaishi in the era of Robot technology.
Waafrika huwa tunskuwa wa mwisho sana na hstushtiki tipo tipo tu.
Wenzetu wameisha anza kuunda sera na sheria kuhusu AI Robot sisi sijui tunasubiri nini wakati midude imeisha anza kufanya kazi.
 
Sema kwa huku kwetu hiyo era ya robotic technology sizani kama itakuja kwa miaka hii..
Kwa africa kama africa
 
Punguza kuangalia movies mkuu
 
Don't worry about Artificial intelligence believe me it will create more employment –jack ma–

Watu waliandamana kwasababu ya matumizi ya gari badala ya farasi pale uingereza.

Hata simu na laptop watu waliziogopa leo hii zimetengeneza ajira kibao lengo nikumsaidia mwanadammu na sio kumreplace.

Hata drone watu walilalamika hvyo hvyo.

Zamani nasikia zile nyavu za basketball zilikuwa zimezibwa hvyo mpira ukiingia kuna mtu analipwa kwa kwenda kuutoa baadae wakaondoa wakaacha wazi.

Don't worry about Artificial intelligence the aims is to reduce costs and to assist a human being.
 
Punguza kuangalia movies mkuu
Mkuu kupitia movie hao wazungu wanaficha mambo mengi huko.

Hao jamaa wanatumia movie kukuweka tayari kwa future line, binafsi naangalia sana movie ndani ya mazungumzo ya actors hasa wale starring huwa wanafikisha ujumbe ambao wewe unayeangalia maigizo hayo huwezi kuelewa.

THE FUTURE IS REAL!.
 
Kuna binadamu wajinga sana.yaani kitu kinatengenezwa na binadamu mwenzake alafu anakiona kina akili na uwezo kuliko binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mawazo aya tuna safari ndefu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni update kwa hapa ya tulipo kutoka kwa huyu boss wetu mpya " rafiki yetu" AI.
πŸ‘‡πŸΎ
 
...ila cha kushangaza kuna wapuuzi wachache wa aina yako wanavisifia hivi vitu kwamba vinamzidi mwanadamu wa kawaida uwezo ...
Mkuu kama mtu anasifia hizi AI kuwa na akili sana (kuliko yeye) huyo ana tatizo, nadhani inapaswa kutoa elimu upya kuwa hizi AI zinachakata mambo ambayo binadamu anayo akilini mwake.

So kile ulichoweza kukifanya yenyewe inakusaidia hatua mbele!.
 
Kuna kitu unachanganya hapa.
1. Kazi ya uchoraji vs thamani ya kazi ya uchoraji.
2. Thamani ya sanaa ya kale vs Thamani ya michoro.

Kupunguza maneno, jiulize haya maswali.
-Ni michoro mingapi ya asili ya kale imeuzwa kwa thamani kubwa.
-Ni miaka mingapi imepita tangu mchoro fulani wa asili ulipochorwa na kuja kuuzwa kwa thamani kubwa.

Tukubali tu, ujio wa kasi wa technolojia umewafuta kazi wataalamu wangu wa kazi asilia.
 
Hii ni picha iliyochorwa kwa mkono zaidi ya karne kadhaa, artificial intelligence bado itakuwa na kibarua cha ziada kuweza kufuta karama ya uchoraji.View attachment 2807021
Huyu Mona Lisa nilimuona African Art Gallery. Picha zina bei balaaa, ya bei ndogo niliyoiona ni $211.

Hawaruhusu kufotoa, unafotoa kwa kuibia.. hii picha ukiangalia kushoto juu bei yake ni zaidi ya milioni za Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…