Angalia jinsi dawa za kuongeza ukubwa wa Makalio zilivyomfanya dada yetu huyu

Angalia jinsi dawa za kuongeza ukubwa wa Makalio zilivyomfanya dada yetu huyu

JosephNyaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
291
Reaction score
232
Ewe dada kama bado hujatumia dawa hizi jua kwamba bado hujachelewa, na pia kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio yao wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au labda haujatumia ila unafikiria kutumia siku moja,angalia hapa alafu utapata jibu utumie au ubaki na maumbile yako ya halisi.

kalio.jpg

Huu ni mfano tu wa makalio yaliyoungua na kuoza baada ya kukuzwa na mchina.
 
Yani nimejikuta nimecheka kwa nguvu.Tatizo watu hawajikubali jamani
 
That is real bad women kuweni kawaida hakuna haja ya kutumia vitu ambavyo vina side effect mbaya to your life
 
Utadhani amekalia jiko la umeme.Bora angebakia tu na tumataco twake twa kunyunyiza.
 
Yaani ni bora Watu waliopata madhara wajitokeze kwa wingi..Lakini huwa wanajificha wakipata tatizo......ILA kwa kweli sasa hivi wadada ni wengi saaana sana wenyekutumia hizi dawa.

Hadi inatishaaaa...Yote hii ni kujitahidi kuwadaka wanaume...

Ewe dada kama bado hujatumia dawa hizi jua kwamba bado hujachelewa, na pia kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio yao wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au labda haujatumia ila unafikiria kutumia siku moja,angalia hapa alafu utapata jibu utumie au ubaki na maumbile yako ya halisi.

View attachment 162757
Huu ni mfano tu wa makalio yaliyoungua na kuoza baada ya kukuzwa na mchina.
 
ukitaka uzuri (usiokuwa nao) lazima udhurike!
 
Hii ni noma saaaaaanaaaa jamani bora nibaki kama sina sina tuuuu hiiii balaaaaaaa
 
jamani chanzo cha hawa wadada wanafanya haya yote sababu ni sisi wanaume tunawa admire mno wanawake wenye ------ makubwa,tubadilike!
 
Back
Top Bottom