Angalia jinsi Kocha Nabi atavyofukuzwa kazi Jumapili!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wanasimbaaaaaaaa,

Hii ndio formula inaenda kumfukuzisha kazi Nabi jumapili hii. Kama intensity ya wachezaji wetu ikiwa juu kwa dk 90 mtaona wanavyopoteana!

Last game walipoteana Zoran akavuruga game mwenyewe!

Sasa angali hili chama uniambie Uto anachomokea wapi ......

1) Manula
2) Israel
3) Tshabalala
4) Onyango
5) Inonga
6) Kanuti
7) Okra
8) Mzamiru
9) Phiri
10) Chama
11) Sakho

Benchi
Beno, Kennedy, Banda, Quattara, Mkude, Okwa, Boko, Kapama, Kyombo

Sub
Okra or Sakho pending on performance ampishe Banda.

Kama Uto waki switch kutumia winga zao (like last deby Zoran alivyopotea) tutatoa winga aingie Kennedy ili tucheze na back 3!

Uto wakichomoka hapa nimekaa paleeeeeee! Wanasimbaaaaaaaaa!
 
Zoran alikua mwehu sana game 1st half aliishika akaleta ujinga 2nd half.
Yanga walivyoamua kutumia winga 2nd half akatepeta akashindwa kufunga njia! Upo uwezekano Yanga akacheza kwa kuvizia ambao hawajawahi kucheza ili kuvuruga mpango wa Simba lakini pia kujaribu hizo mbinu kwaajili ya International games! Hapo game itakuwa ngumu, ila akifunguka kama kawaida yake hachomoki nimekaa paleeeee!
 

Kama Kiungo Ni Mzamiru Basi Yanga Tushashinda Mechi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Utakuwa ni upumbafu sasa, mtu kawapa ubingwa kama sikosei mara 2 halafu afukuzwe kisa mashindano makubwa/shirikisho, kwahiyo wanaimani bado watapenyeza!! 😁

Matimu makubwa kama al ahly, zamalek, Wydad Casablanca, Raja, Esperance na mamelody hizi timu hata zisipofanya vizuri na kocha akatimuliwa ni jambo la kawaida sana ukizingatia ni timu kubwa, ila kwa timu changa kama simba na yanga mhhh, aise watafanya makosa sana if watamfukuza profesa nabi. Na hawatapata kocha anaeupiga mwingi kama NABI.
 
Mnajificha kwenye kichaka cha zolan nyie pimbi, mechi zote mlizobutuliwa uyo zolan ndo alikuwa kocha?
 
Yaani Simba unaiweka kundi la kundi Changa pamoja na Utopolo?
 
mechi itaamuliwa na uchawi, intensity, kukabia kwenye final third ya mpinzani, conversion rate ya chances, heshima kwa mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…