Angalia jinsi Kocha Nabi atavyofukuzwa kazi Jumapili!

Yaani Simba unaiweka kundi la kundi Changa pamoja na Utopolo?

Mkitaka Kuwa Kama Wydad Au Al Ahly Chukueni Ubingwa, Hakunaga Kombe La Robo Fainali Huko CAF, Vinginevyo Nyie Ni Washiriki Tu Kama Washiriki Wengine Mzee, Na Siku Mtakayokuwa Ni Bora Kuizidi Yanga Hapa Tz Ni Kushinda Taji Ambalo Yanga Haijawahi Kushinda Vinginevyo Nyie Bado Ni Maboya Tu Kwa Yanga [emoji28]
 
Hatujamaliizaaaa
 
Wakati huo Gadiola Chinenee ana stick ya meno mdomoni ana ngo'oa ng'oa albaki albaki za nyama kwenye meno[emoji123]
Mikono iko mfukoni hana wasiwasi..alivyo sasa hata goli likifungwa wala hashangilii
 
Ila ule mpira waliocheza simba kipindi cha kwanza kwenye mechi ya ngao ya jamii aisee sijauona tena siku za karibuni simba walipiga mpira mwingi mpaka unamwagika
 
Y
Yaani kocha afukuzwe kwa kufungwa mechl moja ?
 
Ikitokea Yanga wakamfukuza Nabi watajuta sana
 
Hilo kombe la Dar es Salaam tu hamjawahi kushinda nyie utopolo
 
Kwa taarifa yako; katika timu ambazo Yanga huwa anajipigia kiulaini ndani ya hii misimu miwili, basi ni hii timu yako ya Mbumbumbu fc! Hata mumpange kocha wenu Mgunda na Matola, bado mtafungwa tu.

Na kati ya mechi ambazo Nabi hana presha nazo, basi hiyo ya keshokutwa tarehe 23 inaongoza. Mkijitahidi sana; sare!
 
Mnajificha kwenye kichaka cha zolan nyie pimbi, mechi zote mlizobutuliwa uyo zolan ndo alikuwa kocha?
Wanapenda sana kujitoa ufahamu. Wameshasahau kwenye Ngao ya Jamii msimu uliopita, huyo Zoran hakuwepo!

Kwenye nusu fainali ya Kombe ka Shirikisho ka Azam, pia huyo Zoran wa watu hakuwepo! Na kichapo kilitembea.
 
Kiungo mzamiru na mcheza rafu kanuti!!! Bado mnaamini mtaizuia yanga!!
Halafu mabeki waobwa kati ndiyo wale wale Inonga na Onyango! πŸ˜ƒ

Pembeni ni Tshabalala na Izrael Mwenda!! Golini Manula huyu huyu!! Halafu kiungo wao konokono apambane na Fei Toto kweli pale kati kati!!

Kuna watu wana moyo aisee!!
 
Jana kwa mara ya kwanza nilipata kuhudhuria mazoezi ya Yanga pale Avic, niliangalia kwa umakini mno, kwa jinsi nimeona niseme wazi tu, Simba wana mlima mrefu mno siku ya Jpili.

Yanga wameyafanyika kazi mapungufu hasa ya Kaunta, nimeona vile timu ilivyokuwa inaandaliwa kukaba kwa maeneo ili kuziba mianya ya mpinzani.

Pia niliona kwa jicho pevu kuwa Aziz Ki anaandaliwa awe anacheza huru uwanjani yaan free role player, akijaribu kuelekeza namna gani pasi zake zinaenda kwa kuangalia mwendo wake.

Nimeona pia mazoezi mengi mno kwa Mayele hasa magoli ya Vichwa, hii nadhani safari hii watatumia sana Krosi kwenye kupita na kwa wastani watatumia Penetrarion passes kutokea katikati ambapo kwa jinsi walikuwa wanacheza unaona wamejiandaa kutumia nguvu kubwa na kasi ya ajabu.

Niseme wazi, na narudi tena hapa, Simba ana mlima mrefu mno wa kupata matokeo game na Yanga hiyo Jpili. Kwa nilivyoona nimegundua mpira sio uchawi ni ufundi tu ambao unaonekana wazi.

Siku njema.
 
Kila siku nawaambia Hawa mashabiki wa Simba kuwa Yanga sio timu nyepesi kama wanavofikiria.
Sasa acha waingie na mentality ya kuidharau Yanga kitakachowapata watashangazwa.
 
Kama Simba atatumia winga zenye kasi atazuia mashambulizi ya yanga maana siku zote wanatumia beki mbili na tatu kuanzisha mashambulizi pia waumize nyota wa Simba kama walivyozoea
 
Kama Simba atatumia winga zenye kasi atazuia mashambulizi ya yanga maana siku zote wanatumia beki mbili na tatu kuanzisha mashambulizi pia waumize nyota wa Simba kama walivyozoea
Kuumiza?? Mechi ipi hiyo mkuu??
Morali na vipaji ni vitu viwili tofauti, SIMBA ina morali ila haina vipaji kama Yanga. Hivyo wakitanguliwa tu ni ngumu kurudisha au wakitangulia wakachomolewa morali yao hushuka.
 
Kama Simba atatumia winga zenye kasi atazuia mashambulizi ya yanga maana siku zote wanatumia beki mbili na tatu kuanzisha mashambulizi pia waumize nyota wa Simba kama walivyozoea
Za ndaaaaaani nasikia Nabi anataka kwa mara ya kwanza kucheza kwa counter ili kuzuia goli la mapema lakini pia ndio mbinu anataka kuijaribu for international games.

Akicheza kama alivyozoea game nyingi hachomoki! Hakuna Kocha anayejua mbinu za Nabi kama Mgunda! Kupunguza kipigo labda acheze kujilinda na counter!
 
Huu ujinga huwa mnautoa wapi?? Mgunda ameshinda dhidi ya YANGA mara 1 tu. Sasa inashangaza kuonekana MGUNDA anaimudu Yanga. Nabi na Mgunda wamekutana Mara 5, Nabi ameshinda mara 4 na Mgunda 1. Hiyo unayosema hakuna kocha anayemuweza Nabi kama Mgunda, unazungumzia kwa takwimu zipi??
Mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…