Mbwinde kama Mbwinde😂🤣😅🤩🤩🤩Umecheki kwanza mji ulivyopangika? Huwez linganisha na huko kwenu mbwinde
Eneo la musoma lingepata viongozi makini huwenda ingekuwa moja ya mji mkubwa na pengine mji wa gharama ukanda huu wa afrika mashariki, nilifika huko kwa kweli niliupenda sana huu mjini...
Hamnapazuri sana kwa kweli.......hivi mambo ya ugomvi bado yapo?
Bro wewe unaishi Musoma?Kitu kingne ni vizur kama nyumba za udongo zote siku moja zingeondolewa town
Ugomvi upo kila mji.Labda unawazia ugomvi upi mkuu?pazuri sana kwa kweli.......hivi mambo ya ugomvi bado yapo?
Nadhani kuna kitu hukijui.Katika sehemu ambazo zimepangika musoma ni moja wapo,nadhani hata majiji ya hapa nchini yakasome….Tazama mpangilio wa huu mji unavyopendeza
Laiti kama Nyerere angekuwa mbinafsi huu mji ungekuwa jiji linalopendeza sana
Musoma haiwezi kukua kwasababu Mwanza ipo.Eneo la musoma lingepata viongozi makini huwenda ingekuwa moja ya mji mkubwa na pengine mji wa gharama ukanda huu wa afrika mashariki, nilifika huko kwa kweli niliupenda sana huu mjini...
NdioBro wewe unaishi Musoma?
Licha ya kuwa karibu na mwanza, musoma ni kama kigoma ndio mwisho wa reli. Ukifika musoma hakuna pakwenda tena na vitega uchumi vikubwa vya mji karibia vyote vimekufa kuanzia Mutex, viwanda vya samaki.Musoma haiwezi kukua kwasababu Mwanza ipo.
Musoma Ni Kama Morogoro.
Musoma ni Kama Arusha.
Ukishakuwa na ukaribu na Jiji kubwa inakiwa ngumu sana kukua.
Acha basi..unaijua lindi weweHakuna mji mbovu usio na maendeleo kama Musoma