Angalia jinsi manispaa ya musoma ilivyopangika

Angalia jinsi manispaa ya musoma ilivyopangika

co fm

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
1,541
Reaction score
2,487
Katika sehemu ambazo zimepangika musoma ni moja wapo,nadhani hata majiji ya hapa nchini yakasome….Tazama mpangilio wa huu mji unavyopendeza

Laiti kama Nyerere angekuwa mbinafsi huu mji ungekuwa jiji linalopendeza sana
 
Eneo la musoma lingepata viongozi makini huwenda ingekuwa moja ya mji mkubwa na pengine mji wa gharama ukanda huu wa afrika mashariki, nilifika huko kwa kweli niliupenda sana huu mjini...
 
Eneo la musoma lingepata viongozi makini huwenda ingekuwa moja ya mji mkubwa na pengine mji wa gharama ukanda huu wa afrika mashariki, nilifika huko kwa kweli niliupenda sana huu mjini...

Kweli mkuu viongozi wa kule hawajitambui kabisa musoma ni moja ya manispaa bora zaidi sema viongozi
 
pazuri sana kwa kweli.......hivi mambo ya ugomvi bado yapo?
 
Sio hapo tu had nje ya mji (mitaa ambayo haipo katikati ya mji) nayo imepangika vizuri had huwa najiuliza zaman viongozi walitoa wap hizi akil za kupangilia hv mitaa had nje ya mji ila sasa hv wameshindwa had barabara zilizokuwa zikipitika zaman sahv zinaziba.
 
Kitu kingne ni vizur kama nyumba za udongo zote siku moja zingeondolewa town
 
Musoma yetu yapendeza
Mkendo mwigobero iringo kitaji
Miaka ya nyuma kidogo
 
Katika sehemu ambazo zimepangika musoma ni moja wapo,nadhani hata majiji ya hapa nchini yakasome….Tazama mpangilio wa huu mji unavyopendeza

Laiti kama Nyerere angekuwa mbinafsi huu mji ungekuwa jiji linalopendeza sana

Nadhani kuna kitu hukijui.

Ukweli ni kwamba miji yote tanzania, makazi yaliyoanzishwa miaka hiyo yalikuwa yamepangika vizuri.

sasa sijui shida ilitoka wapi, wakati tunaamini kwa sasa ndiyo tuna wataalamu na vifaa zaidi lakini ukitazama makazi ndiyo tumevuruga zaidi.

miji inayokua kwa kasi imekuwa na kasi ya ukuaji wa makazi holela.

In short mawaziri wa ardhi nyumba na makzi wote wa hivi karibuni ni ovyo kabisa, sijui kina Lukuvi, tibaijuka.

Yaani waziri anakaa aofisini na kutembea nchi nzima akitangaza wenye migogoro ya ardhi waje na hatekelezi jukumu lake la msingi na taifa linamuona "hero"

Wataalamu wanakwambia maendeleo ya kwanza katika mji wowote ni mpango wa makazi, huo ndiyo unarahisisha huduma zote za jamii. watu wanakaa kwa ustaarabu.

lakini usipoanga kwanza watu wanakaa kama wanyama na pili maisha ya watu yanakuwa magumu zaidi.
 
Eneo la musoma lingepata viongozi makini huwenda ingekuwa moja ya mji mkubwa na pengine mji wa gharama ukanda huu wa afrika mashariki, nilifika huko kwa kweli niliupenda sana huu mjini...
Musoma haiwezi kukua kwasababu Mwanza ipo.

Musoma Ni Kama Morogoro.

Musoma ni Kama Arusha.

Ukishakuwa na ukaribu na Jiji kubwa inakiwa ngumu sana kukua.
 
Musoma haiwezi kukua kwasababu Mwanza ipo.

Musoma Ni Kama Morogoro.

Musoma ni Kama Arusha.

Ukishakuwa na ukaribu na Jiji kubwa inakiwa ngumu sana kukua.
Licha ya kuwa karibu na mwanza, musoma ni kama kigoma ndio mwisho wa reli. Ukifika musoma hakuna pakwenda tena na vitega uchumi vikubwa vya mji karibia vyote vimekufa kuanzia Mutex, viwanda vya samaki.
 
Back
Top Bottom