Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kocha wake ni Le mutuzKocha wake alimpika akaiva...
Bashite si mchezaji wa sayari hii!!
wacha weeeMakonda kaumbika jamani, angekuwa mwanamke angekimbiza sana hapa mjini.
Haahahah dah... hata wewe? Mnamwonea bure tu bhana...Ninadhani ni watu wachache sana waliona penalty macho yote yalikuwa kwenye msambwanda
Ahahahah has hahahaha huu uzi ukifika sasa nne usiku naomba uniite nichangie ipasavyo.Jamaa limelemewa na chura mpaka limebaki na kipa linapiga nnje.... ahahhahahahha
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Endelea tu kuchokoza watu, unamfahamu Le Mutuz?Ninadhani ni watu wachache sana waliona penalty macho yote yalikuwa kwenye msambwanda
Ha ha haa, sasa penalty ina uhusiano gani na mkojo?Atanioekeka nikapimwew mkojo au?
Hahaha mkuu ukiitwa niite na mimi nichangie piaAhahahah has hahahaha huu uzi ukifika sasa nne usiku naomba uniite nichangie ipasavyo.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
PoapoaAhahahah has hahahaha huu uzi ukifika sasa nne usiku naomba uniite nichangie ipasavyo.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Ndio maana hujapata mtoto
Yaah wengi tumejikita penye ZEGEMBE kuliko mada ilivyoletwaNinadhani ni watu wachache sana waliona penalty macho yote yalikuwa kwenye msambwanda
Nilidhani ni fainali ya Ndondo cup!!
Leo katika katika tamasha la usalama barabarani lilohudhuriwa na watu mbali mbali ikiwemo viongozi na master lilisindikizwa kwa mchezo wa mpira ambapo mkuu wa mkoa mh paul makonda naye alikuwa miongoni mwa waliocheza
Paul makonda alibahatika kupewa apige penalti lakini huwezi amini hakulenga hata goli ambapo goli kipa aliye kuwa amejianda sana hataaaa hakuzitumia nguvu hizo zaidi ya kushaa ngaa tu na yeye kwa kilicho tokea[emoji4] [emoji4]
Hebu jionee hapa chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ni very strategic person... Hiyo ameifanya makusudi kukosa penati ili itengeneze habari.