Angalia jinsi Mhe. Makonda akipiga penalty kwa ufundi mkubwa

Angalia jinsi Mhe. Makonda akipiga penalty kwa ufundi mkubwa

Penalty anakosa Mesi mwenye kipaji cha mpira sembuse mkuu wa mkoa ambaye Mara yamwisho kucheza mpira nidarasa LA sita!!!!!
 
Ninadhani ni watu wachache sana waliona penalty macho yote yalikuwa kwenye msambwanda
Haahahah dah... hata wewe? Mnamwonea bure tu bhana...
images
 
Jamaa limelemewa na chura mpaka limebaki na kipa linapiga nnje.... ahahhahahahha

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Ahahahah has hahahaha huu uzi ukifika sasa nne usiku naomba uniite nichangie ipasavyo.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Leo katika katika tamasha la usalama barabarani lilohudhuriwa na watu mbali mbali ikiwemo viongozi na master lilisindikizwa kwa mchezo wa mpira ambapo mkuu wa mkoa mh paul makonda naye alikuwa miongoni mwa waliocheza

Paul makonda alibahatika kupewa apige penalti lakini huwezi amini hakulenga hata goli ambapo goli kipa aliye kuwa amejianda sana hataaaa hakuzitumia nguvu hizo zaidi ya kushaa ngaa tu na yeye kwa kilicho tokea[emoji4] [emoji4]

Hebu jionee hapa chini

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilidhani ni fainali ya Ndondo cup!!
 
Makonda ni very strategic person... Hiyo ameifanya makusudi kukosa penati ili itengeneze habari.

Na Sasa naona wabongo wameanza kumjadili Makonda tena.

Huyu jamaa unajua namna ya kuandaa saikoloji ya mass ktk matukio makubwa.

Angefunga wala isingekuwa habari ila kwa kukosa naona watu wanatiririka tu ndani mpaka nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom