Angalia jinsi Mhe. Makonda akipiga penalty kwa ufundi mkubwa

Alafu shuti halina afya kabisa. Yani km kapiga mtoto wa miaka 5 . Kukosa penati sio ajabu, ila ajabu namna hiyo penalty ilivypigwa.
 
Na kwa nini anapenda kuandikwa ? If I may ask
 
Na kwa nini anapenda kuandikwa ? If I may ask
Ile ban imemuathiri kiasi aisee.Ujue huyu jamaa ni kama Rais wa Mkoa Sasa anapoona media zimegoma kuandika habari zake inauma sana kiukweli
 
Ni hali ya Mchezo tu, tunaomfahamu Makonda vizuri hatuwezi kushangaa kwa sababu ni Mchezaji mzuri wa mpira wa Miguu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…