Angalia jinsi Mhe. Makonda akipiga penalty kwa ufundi mkubwa

Angalia jinsi Mhe. Makonda akipiga penalty kwa ufundi mkubwa

Alafu shuti halina afya kabisa. Yani km kapiga mtoto wa miaka 5 . Kukosa penati sio ajabu, ila ajabu namna hiyo penalty ilivypigwa.
 
Makonda ni very strategic person... Hiyo ameifanya makusudi kukosa penati ili itengeneze habari.

Na Sasa naona wabongo wameanza kumjadili Makonda tena.


Huyu jamaa unajua namna ya kuandaa saikoloji ya mass ktk matukio makubwa.

Angefunga wala isingekuwa habari ila kwa kukosa naona watu wanatiririka tu ndani mpaka nje ya nchi.
Na kwa nini anapenda kuandikwa ? If I may ask
 
Na kwa nini anapenda kuandikwa ? If I may ask
Ile ban imemuathiri kiasi aisee.Ujue huyu jamaa ni kama Rais wa Mkoa Sasa anapoona media zimegoma kuandika habari zake inauma sana kiukweli
 
Ni hali ya Mchezo tu, tunaomfahamu Makonda vizuri hatuwezi kushangaa kwa sababu ni Mchezaji mzuri wa mpira wa Miguu!
 
Back
Top Bottom