Angalia jinsi Mhe. Makonda akipiga penalty kwa ufundi mkubwa

I was not expecting such comment from you.

Please hebu niambie ndg zake Paul Makonda na mkewe wakipita humu inakuwaje?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
He is a public figure.

So he is going to be subjected to a lot of things including ridicule, lampooning, etc.

It comes with the territory.
 
Hebu ifike mahali jaman tuache haya maneno makali ya kudhalikishana kiasi hiki.

Jifikirie huyu ni mum e wa mtu, ni mtoto mwenye wazazi ni kaka wa watu.

Katika kutenda wake sijawah kumuona akimkashifu mtu ama kumtusi mtu ingawa ni kweli huwa anakosea ten sana.

Sawa kakosa penalty lkn je wanaume wote waliochangia tukiwaita hapa je hakuna wenye mwili kama wake? Ama kwakua mtu Fulani anamchukia basi soteee tubebe hizo chuki ndani yetu?

Kosoa utendaji wa mtu lkn sio ukosoe mwili wake. Ama uanze kumkashifu. Wengine humu mkitoka ni wanene kama vipipa lkn hapa mko mna mkashifu kaka wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wengine mkojo wetu unatutosha wenyewe
 
Hongera kwa kukosa penalt na kuja kusema umejikosesha

IQ standard
 
Mahaba ya kijinga haya,kama fake ID unahipendekeza hivi,real ID itakuwaje?si unawezaje kusorola byee hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…