PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Usinipe ushindi, sitafuti ushindi. Mshindi ni Bashite ambaye unamtafutia ushindi.Hakuna shida mshindi wewe na maneno hayo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinipe ushindi, sitafuti ushindi. Mshindi ni Bashite ambaye unamtafutia ushindi.Hakuna shida mshindi wewe na maneno hayo...
Pambana na hali yako binamu , maendeleo yako kamwe hayaji kupitia redioMakonda ana kazi moja tu ya kuwafunika chadema kwenye kuwaletea maendeleo wananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
I was not expecting such comment from you.Teh teh teh.....dah!!
Huyo anafaa kushiriki vibao kata vya khanga moko😀
He is a public figure.I was not expecting such comment from you.
Please hebu niambie ndg zake Paul Makonda na mkewe wakipita humu inakuwaje?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamoo mwalimu...
Eti umesemaje?? Ni mahaba au? Tema mate chini mama....Katika kutenda wake sijawah kumuona akimkashifu mtu ama kumtusi mtu ingawa ni kweli huwa anakosea ten sana.
Sio mahaba mahaba bhanaa ila ukweli kashfa kuhusu yy zinaboa sana. Kwanza mkimpotezea ni vyema zaidiEti umesemaje?? Ni mahaba au? Tema mate chini mama....
Mpaka alete vyeti bhana...Sio mahaba mahaba bhanaa ila ukweli kashfa kuhusu yy zinaboa sana. Kwanza mkimpotezea ni vyema zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kukosa penalt na kuja kusema umejikoseshaMakonda ni very strategic person... Hiyo ameifanya makusudi kukosa penati ili itengeneze habari.
Na Sasa naona wabongo wameanza kumjadili Makonda tena.
Huyu jamaa unajua namna ya kuandaa saikoloji ya mass ktk matukio makubwa.
Angefunga wala isingekuwa habari ila kwa kukosa naona watu wanatiririka tu ndani mpaka nje ya nchi.
Mahaba ya kijinga haya,kama fake ID unahipendekeza hivi,real ID itakuwaje?si unawezaje kusorola byee hadharaniHebu ifike mahali jaman tuache haya maneno makali ya kudhalikishana kiasi hiki.
Jifikirie huyu ni mum e wa mtu, ni mtoto mwenye wazazi ni kaka wa watu.
Katika kutenda wake sijawah kumuona akimkashifu mtu ama kumtusi mtu ingawa ni kweli huwa anakosea ten sana.
Sawa kakosa penalty lkn je wanaume wote waliochangia tukiwaita hapa je hakuna wenye mwili kama wake? Ama kwakua mtu Fulani anamchukia basi soteee tubebe hizo chuki ndani yetu?
Kosoa utendaji wa mtu lkn sio ukosoe mwili wake. Ama uanze kumkashifu. Wengine humu mkitoka ni wanene kama vipipa lkn hapa mko mna mkashifu kaka wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitakia mwenyewe kupimwa mkojo,usije ukamlaumu mtu.Msambwanda jamani wakati dada zake tumebeba flat screens.