Angalia jinsi Mhe. Makonda akipiga penalty kwa ufundi mkubwa

Angalia jinsi Mhe. Makonda akipiga penalty kwa ufundi mkubwa

Yuko ndani ya jezi
111455650125cf89fc75cb2586c3de96.jpg


-Ndumilakuwili-
Ananyonya nini?
 
Napendaga makiki

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Makonda kaumbika jamani, angekuwa mwanamke angekimbiza sana hapa mjini.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hata nyie mmeliona ilo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Kwa jinsi mnavyopenda kumuongelea nibfuraha kuona mmepata jingine la kumuongelea.

Hapo jua lilikuwa kali sana nionavyo.. kakosa kwa kidunchu tu... hongera kwake angepaisha lama anatungua embe ingekuwa nomaaaaaaa haswaaa

Makonda oyeeeee
 
Aaaah hata kama hii sasa imezidi ndio wivu wa maendeleo hakuna anae ukataa ila huu sasa hapana yaani nyungu ya jamaa imewatoa watu udenda mpaka wamechepusha mada!
 
Back
Top Bottom