Angalia leo usiku - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi

njiwaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
289
Reaction score
209
WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm

ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30

English version is below the Kiswahili information

Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo usiku Oktoba 14

Tarehe 14 Oktoba usiku saa 2 hadi saa 3:30 tukio la kipekee litatokea wakati sayari ya Zohali (Saturn) itapotelea angani kwa kufunikwa nyuma ya Mwezi katika maeneo ya kwetu na sehemu za kati, kusini ya Afrika.

Kwa watu wa Tanzania tukio linatokea muda mzuri wa jioni ya saa 2 usiku wakati watu wapo majumbani baada shughuli za mchana kwa hiyo watu wengi wataweza kutoka nje na kuangalia angani upande wa mashariki. Ukiangalia kabla ya saa mbili utaona Mwezi ulio mpevu na jirani yake kwa chini wataona sayari Zohali kama nyota isiyomeremeta. Baada ya saa 2 Zohali itafichika kwa kwenda nyuma ya Mwezi.

Kuangalia tukio hili hauhitaji darubini au chombo chochote. Utaweza kufurahia kwa macho pekee.

Zohali itapotea kwa kiasi saa moja na nusu na utaweza kuna ikirudi tena kutoka nyuma ya Mwezi baada ya saa 3 usiku.

===============

Saturn will be hidden behind the Moon on October 14

On the night of 14 October between 8 pm to 9:30 pm Saturn will disappear behind the Moon in central southern and eastern Africa in a rare event called lunar occultation.
2EB59988-18F9-4A4B-B68D-E9E4952A6653.jpeg

The times are best for Tanzania in early evening and everyone can watch the event from before 8 pm as the Moon comes in front of bright steady star which is the planet Saturn.

You don’t need a telescope to follow this event. It can be seen directly with your eyes only.

Saturn will be lost for about one and a half hours and you can observe Saturn reemerging from behind the Moon after 9 pm.

1D24A7FA-8BAE-4CE3-9420-DA32388D1F7A.jpeg
256C93D9-FC77-4062-AED9-F849149826C2.jpeg
0AD79FC5-67EA-415B-96E4-FFF7FD82022A.jpeg
 
Asante kwa Taarifa nzuri.
Tukio hili linaashiria nini ?
 
Shida unapost bila kusema kuna madhara gani ktk ulimwengu !
 
WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm

ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30

English version is below the Kiswahili information

Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo usiku Oktoba 14

Tarehe 14 Oktoba usiku saa 2 hadi saa 3:30 tukio la kipekee litatokea wakati sayari ya Zohali (Saturn) itapotelea angani kwa kufunikwa nyuma ya Mwezi katika maeneo ya kwetu na sehemu za kati, kusini ya Afrika.

Kwa watu wa Tanzania tukio linatokea muda mzuri wa jioni ya saa 2 usiku wakati watu wapo majumbani baada shughuli za mchana kwa hiyo watu wengi wataweza kutoka nje na kuangalia angani upande wa mashariki. Ukiangalia kabla ya saa mbili utaona Mwezi ulio mpevu na jirani yake kwa chini wataona sayari Zohali kama nyota isiyomeremeta. Baada ya saa 2 Zohali itafichika kwa kwenda nyuma ya Mwezi.

Kuangalia tukio hili hauhitaji darubini au chombo chochote. Utaweza kufurahia kwa macho pekee.

Zohali itapotea kwa kiasi saa moja na nusu na utaweza kuna ikirudi tena kutoka nyuma ya Mwezi baada ya saa 3 usiku.

===============

Saturn will be hidden behind the Moon on October 14

On the night of 14 October between 8 pm to 9:30 pm Saturn will disappear behind the Moon in central southern and eastern Africa in a rare event called lunar occultation. View attachment 3124365

The times are best for Tanzania in early evening and everyone can watch the event from before 8 pm as the Moon comes in front of bright steady star which is the planet Saturn.

You don’t need a telescope to follow this event. It can be seen directly with your eyes only.

Saturn will be lost for about one and a half hours and you can observe Saturn reemerging from behind the Moon after 9 pm.

View attachment 3124362View attachment 3124363View attachment 3124364
Hata kabla haijazibwa sijawahi kuiona,kwa hiyo kinachotokea hakina maana kwangu kabisa maana huenda pengine huwa sayari zinazibwa tu kila mara.Ni sawa na mhudumu wa bar kukatiza mbele ya TV wakati mnaangalia mechi,ni tukio la kawaida sio lazima kulianzishia uzi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Usiwe na mashaka kuwa tukio ni kama mtoto kapita mbele ya TV. Hili ni kitu cha kutokea nadra sana na nyingine kama hii haitatokea kwa zaidi ya miaka 20 ijayo
 
Madhara ningetamka haraka tena kwanza. Mwezi na sayari vyote vinaweza kutazamwa kwa macho moja kwa moja kwa hiyo kufichika moja haiwezi kuongeza tatizo.

Labda kama mawazo yako ni katika mambo ya sheh yahya hayo ni mambo ya imani na kila mtu anafumbua kwa njia yake bila kuwa na misingi ya kiasilia
 
Haya ni matukio ya kuweza kufahamu sayansi ya Astronomia na kufurahia kuuelewa Ulimwengu wetu kwa ujumla
 
Tunaishukuru serikali ya mama Samia kutuletea hili tukìo.
 
Back
Top Bottom