Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mi niko bize na Robinson Crusoe Cha Daniel Defoe.
Ila hicho abundance nita jaribu kuki pitia.
Mi niko bize na Robinson Crusoe Cha Daniel Defoe.
Tunalo la kujifunza kutoka kwao.Nchi ya Marekani inaheshimu uhuru wa maoni. Kule hamna mambo ya ku take issues personal ndio maana huwezi sikia mtu anatekwa kwa kutoa maoni yake juu ya raisi yawe negatively au positively.
Niko powa vipi wewe?uko poa lkn?
I'm good 😊Niko powa vipi wewe?
Tatizo wanamchokoza Sasa...🤣🤣🤣Mzee taarabu nyingii nae, apige kazi aachane na vijana
Sawa kama upo fine inapendeza 🙂I'm good 😊
Okay.. Lamama,Sawa kama upo fine inapendeza 🙂
Nyie mmejaa unyani😁 akili kisoda kutumia nguvu kila mahali hata pasipostahili.Tunalo la kujifunza kutoka kwao.
Sema mzee ana moyo, hakuachi anakupa unachotaka🤭Tatizo wanamchokoza Sasa...🤣🤣🤣
Kuacha rabia hizo ndo kustaarabikaNyie mmejaa unyani😁 akili kisoda kutumia nguvu kila mahali hata pasipostahili.
Yaani wewe muda wote unawaza tu udini mkuu?Nimecheka bana, huyu hamtamuweza, achaneni naye, amekojoa huko uarabuni makobaz yana mind sana tu.
Bado sana yaniKuacha rabia hizo ndo kustaarabika
Sisi bado.
Hivi hii, 'dumb as a rock' Ina maana gn?!!Hii mistari konki, eti spring ni dumb as rock.
Joe Biden is a worst and incompetent fool 🔥.
Kiranga hii mistari ame kopi kwako nini 😂