Angalia majibu ya shombo ya Trump kwenda kwa hawa wasanii!

Nchi ya Marekani inaheshimu uhuru wa maoni. Kule hamna mambo ya ku take issues personal ndio maana huwezi sikia mtu anatekwa kwa kutoa maoni yake juu ya raisi yawe negatively au positively.
Tunalo la kujifunza kutoka kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…