Angalia mapesa ambayo yanapotea bure kutokana na report ya CAG (picha) 822.5 BILLIONS

Hii ni mipigo inayoratibiwa. Hasara za kutengeneza, pesa zote zimejaa Lumumba, tayari kuandaa T shirt na kofia.
Miaka yote mnatajiwa hizi hasara na hakuna mabadiliko wala hatua kuchukuliwa.
 
Matumizi yasiyo na tija bilioni 371.42, hapo ndo unakuta Kuna kununua MaV8 , semina kwenye hoteli za nyota tano, per diem za vikao na semina hewa, vitafunwa na chai, kuhonga wasanii kuja kutumbuiza kwenye matamasha yao, goli la mama, nk
 
Mama maushungi ndiye anayachota na kuapeleka kwenye nchi yake
 
Kama kweli usalama wa Taifa TISS wapo serious ,na wapo kwa ajili ya Taifa, ni vema wakashauri, wakaangalia namna inavyofaa,kushauri, na Watanzania waone sasa tunakoelekea!!!

This is alarming sign 🚨,
 
Wewe kama unaona billioni mia nane ni nyingi hamia Burundi kusikokua na matumizi makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…