ndio
Wewe unafikiri nini?
Kwa nini hujiulizi pia, Mungu alitoka wapi?

Kwa nini unajiuliza tu, Dunia ilitoka wapi?

Kwa nini unaweka ulazima wa dunia kutoka sehemu fulani?

Kwa nini huweki ulazima wa Mungu kutoka sehemu fulani?

Hujui kwamba unafanya Logical fallacy ya special pleading?

Kwa nini unafanya EXEMPTION kwa Mungu asiwe na chanzo, Halafu unafosi dunia iwe na chanzo?
 
Kwa nini hujiulizi pia, Mungu alitoka wapi?
Nimejiuliza
Ndio maana nimeweka hayo maswal ili upate picha halisi
Na majibu nitakuja kutoa
 
Nimejiuliza
Ndio maana nimeweka hayo maswal ili upate picha halisi
Na majibu nitakuja kutoa
Mungu angekuwepo kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.

Kila mtu angefahamu Mungu yupo kwa uhakika kabisa bila imani.

Mungu hayupo ndio maana hakuna uhakika, ushahidi na uthibitisho wa uwepo wake.

Ni hadithi uchwara tu za vitabuni na imani za kusadikika zina muongelea huyo Mungu.
 
Kwanza kabisa thibitisha huyo Mungu yupo.
 
Huyo Mungu anatafutwa kwani amepotea?

Kwa hiyo huyo Mungu kajificha halafu anataka atafutwe?

Huyo Mungu akitafutwa anafaidika nini?

Huyo Mungu asipotafutwa anapungukiwa nini?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Kwa nini kwenye kivuli hakuna jua; au kwa nini kwenye jua hakuna kivuli? Huwezi ukaihoji nature
 
Nature ni nature.

Nature si Mungu.
Kwa nini una kichwa kimoja na si vitatu au vinne? Ninauliza hivi kukuonyesha kuwa hata wewe hapo ulipo una natural attributes ambazo mtu hawezi akazihoji; Similary Mungu hata kama Mungu si nature
 
Kwa nini una kichwa kimoja na si vitatu au vinne? Ninauliza hivi kukuonyesha kuwa hata wewe hapo ulipo una natural attributes ambazo mtu hawezi akazihoji; Similary Mungu hata kama Mungu si nature
Ungekuwa na vichwa vitatu au vinne bado ungeuliza kwa nini una vichwa vitatu na si kichwa kimoja.

Nature si Mungu.
 
upande gani? 😁
Amin Amin nawaambieni Kwa Mungu
Akishaamini
Ni rahisi kupata uthibitisho

Ni sawa na mtu anayetaka
Kuvua soksi bila kuvua kiatu
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…