Angalia mkataba wa Sweden na UAE ulivyotoa haki na wajibu kwa pande zote mbili. Ulinganishe na wa kwetu

Sasa unataka tulinganishe na Investment Protection Contract ipi?


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Una kichwa cha panzi na wewe. Mktaba wa DP world main content ni protection contract........kulinda maslahi ya investment zao. Na mkataba wowote kitu cha kwanza ni ku protect interest za investors ndiyo mambo mengine yafafuatia....................wajibu wote uko kwetu (protection o their interest) , haki zote kwao (no protection of our interest).

sasa tuje kwenye matusi yako bladifaken bastard
Ushungi ndio wanasomea ujinga maana wanafundishwa ujinga wa kufunika kichwa na ukifunga kichwa muda wote wa maisha yako huwezi kufikiri maana una restrict smooth blood flow
 
sasa hivi mnamkumbuka magu simlikuwa mnamtukana mpaka mze3e wa watu akaondoka ? mwacheni apiumzike tesekeni wenyewe
 
Ebu soma protocol 2 (a) and (b) ulinganishe na masuala ya kodi kwenye mkataba wa Tanzania.
Huu wa Sweden umesema wazi kuwa "
Investors of either Contracting State shall be entitled to apply to the

competent authorities in the host State for the appropriate facilities,

incentives and other forms of encouragement and the host State will

grant them all assistance, consents, approvals, licenses and

authorizations to such an extent and on such terms and conditions as

may, from time to time, be determined by the laws and regulations

of the host State."

Mkataba wetu una nafasi kama hiyo? Leta reference
 
Katika mada ngumu za namna hii, ndio utaweza kugundua msomi vya vyeti na msomi aliyeiva; msomi aliyeiva lazima adadavue kiundani kwa kulinda maslai ya pande zote mbili.
 
Johari ndie alitufukisha Happ na mbarawa


Hata hvyo Sweden si ndio wachomaji huwa wa quruan
 
Mleta mada tatizo letu Tz ni viongozi wetu wa CCM na wakuu wa nchi kukimbilia RUSHWA na kuuza nchi vipandevipande angalia;
Madini
Gas
Ngorongoro na Loliondo
Mikataba kama Escrow, meremeta, Simbion, IPTL nk
Na huu wa Bandari ambao ni wa HOVYO kabisa na uliojaa ufisadi.
Haya yote ni uroho, ubinafsi, kukosa uzalendo na ushetani wa viongozi wetu
 
Ukishasema unakataa kwenda london lakini ila unakubali kwenda tribunal sasa si kilekile tu makao makuu ya tribunal ni huko ni sawa tu na kukubali kutumia englosh common lawa na pia ni sawa na umekubali kwenda London sasa toka lini ukawa refa wewe mchezaji wewe lazima refa awe neutral kama kweli unaconfidence na hauna nia mbaya dhidi ya mwekezaji kwa nini ukatae .
 
Kwa Tume ya uchaguzi ilivyo - sahau hayo
 
Unashika nini??
Hahaaaaa ni jina halisi tu la mtu hilo kama majina mengine vile Mtu anaitwa Upendo mwingine Mawazo au mwingine Bahati ni majina yetu ya kibantu hayo.
 
Kwani mkuu si kelele nyingi vipengele hasa cha ukomo virekebishwe wenye mamlaka wasikivu wataboresha sawa watakuwekea ukomo miaka 20 au 30 ili amani uipate viongozi wetu wasikivu mkuu ikiwa hivyo si inakuwa salama mkuu au bado inakuwa hopeless. Maana msingi sio kutaja huo muda msingi kuwa na kukubaliana kuwa na mapitio kila baada ya muda ili mqmbo hayaendi mnaachana lakini mkuu wewe unataka tujicommit mpaka miaka ifike 20 au 30 wakati tukiweka mapitio ya kila miaka 4 au 5 inakuwa salama zaidi tumeshindwana tunachana kwa heri kabisa na tunashake hands.
 
Hapo mwisho umeuliza swali na mimi na kujibu kwa kukuuliza swali pia je ukisaini mkataba na tanesco umeingia mkataba na tanesco au na nchi ya Tanzania pia.
 
Wanamajibu ya ajabu, utaambiwa sisi tumesaini na Dubai na si UAE hivyo haviusiani!!!
Uko sahihi, wataleta ujinga kama huo! Wanasahahu kuwa The point we want to establish is that: Both sides have safeguarded their interests. The contract is structured in such a way neither of the two is a whole taker and the other is a whole looser as it is in DP World contract!
 
Umeingia mkataba na Tanesco.

Ila jua IGA ni Intergovernmental Agreement
Hapo mwisho umeuliza swali na mimi na kujibu kwa kukuuliza swali pia je ukisaini mkataba na tanesco umeingia mkataba na tanesco au na nchi ya Tanzania pia.
 
Hapo mwisho umeuliza swali na mimi na kujibu kwa kukuuliza swali pia je ukisaini mkataba na tanesco umeingia mkataba na tanesco au na nchi ya Tanzania pia.
Tanesco anatumia sheria za Tanzania and secondly, Tanesco is a wholly government-owned company! Chochote anachokifanya Tanesco anatumwa na Tanzania. Therefore umeishitaki Tanzania kupitia Tanesco because at the end of the day Tanzania government will bear the costs if it is a loser!
 
Umeingia mkataba na Tanesco.

Ila jua IGA ni Intergovernmental Agreement
asante sana. HGA ndizo tanesco atasign kwa utekelezaji wa miradi ndani ya IGA! na huyo investor from abroad lazima katika mkataba Tanzania will feature as authorizing to Tanesco to sign the contract on its behalf! I stand to be corrected
 
Sasa unataka tulinganishe na Investment Protection Contract ipi?


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
nakwambia mkataba wa DP world una fatures zote za protection ya waarabu na pesa zao bila protection ya service za tanzania, ni kwa vile una kichwa cha panzi
 
Wala posho za hashtag ya DP world watakwambia huko ni Sweden na huku ni Tanzania tuna taratibu zetu kweny mikataba!!
Uko sahihi watasema hivyo. wanashau kuwa Issue hapa ni protection ya interest za Tanzania, not location of the contracting parties
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…