Habari yenu wadau,sijui kwanini mods waliitoa post hii hapo jana,ni kuhusu majina takribani 987 waliochauliwa vyuo vya mifugo 2014/15 diploma na cheti,tafadhali tembelea tovuti ya mifugo au maswayetu exclusive blog ambapo utayaona kwa urahisi..thanks nawasilisha.