Angalia orodha ya majina waliochaguliwa kujiunga vyuo vya mifugo 2014-15

Angalia orodha ya majina waliochaguliwa kujiunga vyuo vya mifugo 2014-15

Matemag

Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
20
Reaction score
4
Habari yenu wadau,sijui kwanini mods waliitoa post hii hapo jana,ni kuhusu majina takribani 987 waliochauliwa vyuo vya mifugo 2014/15 diploma na cheti,tafadhali tembelea tovuti ya mifugo au maswayetu exclusive blog ambapo utayaona kwa urahisi..thanks nawasilisha.
 
Back
Top Bottom