Angalia picha 12 za utengenezwaji wa video ya wimbo wa miaka 50 ya muungano, wasanii wote wakali

Angalia picha 12 za utengenezwaji wa video ya wimbo wa miaka 50 ya muungano, wasanii wote wakali

Watu wameshapiga mkwanja wa maana hapa..
 
mmh huyo mrisho mpoto havai viatu,inamaana mtu ukiwa mzalendo viatu huvai?
 
Hivi Mwana FA hua ananyoa nyusii auu yaan sijui yupojee
 
maigizo ya kitoto na ya kijinga,how can a celebrity appear that way?eti uzalendo,idiot him

Mrisho mpoto ndo alivyo huwa anatembea peku hadi barabarani.
Anasema ni muhimu mwili kugusana na ardhi.
 
Hivi Mwana FA hua ananyoa nyusii auu yaan sijui yupojee

FA umri umekwisha mtupa mkono kwa kifupi ni dingi hapo nadhani anakimbizana na Fela kwa kula chumvi hayo mambo ya kuziba uso halfway angewaachia kina Sheta na wasanii chipukizi. Hamuoni Prof J keshaacha au Dre kule mbele.
 
Back
Top Bottom