Dili hilo nani kali-organise?
Dili hilo nani kali-organise?
Uwez ukamkuta mtu makini kama Jdee au Prof Jay kwenye uu muunganiko wa wapiga Fursa
Mpoto amevaa gauni?
Dili hilo nani kali-organise?
mmh huyo mrisho mpoto havai viatu,inamaana mtu ukiwa mzalendo viatu huvai?
Na hilo vazi lake ndio tulikifanya la taifa...mmh..
Deal la jk mwenyewe hilo si hao ni wasanii wenzake