Angalia picha 12 za utengenezwaji wa video ya wimbo wa miaka 50 ya muungano, wasanii wote wakali

Angalia picha 12 za utengenezwaji wa video ya wimbo wa miaka 50 ya muungano, wasanii wote wakali

Wangeutengeneza upya ule wimbo wa muungano wa mzee Makasy, ule wimbo ni mzuri sana na mzee Makasy bado yupo hai....wangeupa ladha za bongofleva plus sauti ya babu Makasy........lazima lingetoka bonge la dude...
 
Hicho "kiraka" cheusi hapo juu daarini ni nini ?
 
Dili hilo nani kali-organise?

Angalia picha ya mwisho chini utaona kuna watu wawili, mmoja kavaa T-shirt ya light green na mwingine kavaa kanzu nyeusi. Nadhani jibu utalipata.
 
mkubwa-fella.jpg
 
Uwez ukamkuta mtu makini kama Jdee au Prof Jay kwenye uu muunganiko wa wapiga Fursa
 
We got it all wrong..hawa ni wasanii wa kiTanzania, wako wakitengeneza video ya kuhamasisha upendo na umoja wa kiTaifa....zaidi ya bendera sioni uTanzania wowote uko presented hapo. MwanaFA na Mjomba angalau wamejaribu kurepresent uAfrika..hao wengine makata------ na viskin tight...ndio upendo na umoja wa kiTanzania huo!?
 
hivi fela naye ni mwanamuziki? kweli hii ndio bongo kulala na njaa kupenda.
 
Back
Top Bottom