Angalia picha ya nyumba hii toa ushauri

Angalia picha ya nyumba hii toa ushauri

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
259
Reaction score
483
1738728169014.jpg

Nyumba hii ina
1 Master bedroom
LIving room
KItchen
Dinning
Store
Public toilet

Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri
Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669

Turudi kwenye mada unaonaje hii design
 
Ramani imetulia

Inachukua Ukubwa kiasi gani wa eneo?

Hii Kwa sisi wastaafu inaweza kutufaa kwaajili ya kujenga vi-apartiments
Mstaafu ikiwa unaishi na mwenza tu na hauna ndugu yeyote atakaye kuja kwako na kuhitaji hifadhi hata ya siku moja mkuu.
itakufaa.
Lakini hata kama una.kajukuu tu HAIKUFAII
 
Mstaafu ikiwa unaishi na mwenza tu na hauna ndugu yeyote atakaye kuja kwako na kuhitaji hifadhi hata ya siku moja mkuu.
itakufaa.
Lakini hata kama una.kajukuu tu HAIKUFAII
Umesema sahihi Mkuu, japo lengo langu nivijenge kama apartments za kupangisha ama Vihotel kwaajili ya Wageni (airBnB)
 
Back
Top Bottom