stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Nimeupenda mlangoView attachment 3226043
Nyumba hii ina
1 Master bedroom
LIving room
KItchen
Dinning
Store
Public toilet
Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri
Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669
Turudi kwenye mada unaonaje hii design
(4m x 7m)+(4m x 5m) = 48 meter squareRamani imetulia
Inachukua Ukubwa kiasi gani wa eneo?
Hii Kwa sisi wastaafu inaweza kutufaa kwaajili ya kujenga vi-apartiments
🙏🙏(4m x 7m)+(4m x 5m) = 48 meter square
Ramani imetulia
Inachukua Ukubwa kiasi gani wa eneo?
Hii Kwa sisi wastaafu inaweza kutufaa kwaajili ya kujenga vi-apartiments
Kwenye kiwanja cha 15x30m (sqm 450) zinaingia hizi tatu kila moja inakaa kwenye eneo la 10x15m na parking space inabaki.Nzuri kwa biashara imekaa poa
aaah kumbe.....Kwenye kiwanja cha 15x30m (sqm 450) zinaingia hizi tatu kila moja inakaa kwenye eneo la 10x15m na parking space inabaki.
Mstaafu ikiwa unaishi na mwenza tu na hauna ndugu yeyote atakaye kuja kwako na kuhitaji hifadhi hata ya siku moja mkuu.Ramani imetulia
Inachukua Ukubwa kiasi gani wa eneo?
Hii Kwa sisi wastaafu inaweza kutufaa kwaajili ya kujenga vi-apartiments
Nzuri sana kwa apartmentView attachment 3226043
Nyumba hii ina
1 Master bedroom
LIving room
KItchen
Dinning
Store
Public toilet
Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri
Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669
Turudi kwenye mada unaonaje hii design
Umesema sahihi Mkuu, japo lengo langu nivijenge kama apartments za kupangisha ama Vihotel kwaajili ya Wageni (airBnB)Mstaafu ikiwa unaishi na mwenza tu na hauna ndugu yeyote atakaye kuja kwako na kuhitaji hifadhi hata ya siku moja mkuu.
itakufaa.
Lakini hata kama una.kajukuu tu HAIKUFAII
Huu ni upotoshaji, omba msaada badala ya kukata tamaa kwa jambo usilolijua.Hiden roof n janga la kitaifa
Hadi kukamilika inaweza cost sh ngapi mkuu [maksio](4m x 7m)+(4m x 5m) = 48 meter square